Wednesday, 29 May 2013

MTANDAO WA JINSIA TGNP WAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI MBEYA


MRATIBU WA MASUALA YA HABARI NA MAHUSIANO WA TGNP BI. KENNY NGOMUO KUSHOTO AKIWA NA BI.PENDO OMARY KABLA YA  KUANZA SEMINA.
 MRATIBU WA MASUALA YA HABARI NA MAHUSIANO WA TGNP BI. KENNY NGOMUO AKITOA UFAFANUZI WA MALENGO YA SEMINA KWA WANAHABARI.

 WANAHABARI WAKIFUATILIA KWA UMAKINI SEMINA HIYO.
 WANAHABARI WAKIJADILIANA KATIKA VIKUNDI JUU  YA MADA ZINAZOHUSU MFUMO DUME

 MWANDISHI WA HABARI KUTOKA TBC NDUGU HOSEA CHEYO AKICHANGIA MADA KUHUSU MFUMO DUME.
 MWANDISHI WA HABARI KUTOKA  MWANANCHI NDUGU STEFANO SIMBEYE AKIWASILISHA MADA YA KIKUNDI CHAKE KATIKA SEMINA HIYO
 MRATIBU WA MASUALA YA HABARI NA MAHUSIANO WA TGNP BI. KENNY NGOMUO AKISISITIZA JAMBO KATIKA ILANI YA MADAI YA WANAWAKE WA TANZANIA KUHUSU KATIBA MPYA.
 MRATIBU WA MASUALA YA HABARI NA MAHUSIANO WA TGNP BI. KENNY NGOMUO, AKIFUTILIA MJADALA WA WAANDISHI WA HABARI.

No comments: