![]() |
HAPA NDIPO ENEO LINALOTAMBULIKA KAMA UWANJA WA NDEGE AMBAPO KILA MALA AJALI HUTOKEA KWA MAGALI KUFERI BREKI NA KUSHINDWA KUKATA KONA HIVYO KUPITILIZA BONDENI |
![]() |
MABAKI YA GALI AINA YA SCANIA T669ACU MALI YA KAMPUNI YA LAKE OIL ILIYOKUWA IKITOKEA DSM KUELEKEA KYELA |
![]() |
HAPA NDIPO WALIPOKUTWA KONDACTA ALIYENUSURIKA KIFO AMBAPO DEREVA WAKE NA WANAE WAMEFARIKI |
![]() |
MAREHEMU ZAWADIEL SAMWELI AMBAYE NDIYE DELEVA WA GALI LILILOPATA AJALI NA KUFA HAPOHAPO |
![]() |
NASIBU RAMADHANI AMBAYE NI KONDACTA WA GALI HILO AMBAYE AMEJERUHIWA KATIKA AJALI HIYO |
![]() |
MAJERUHI NASIBU RAMADHANI AKIPATA HUDUMA KATIKA HOSPITAL YA TUKUYU KABLA YA KUKIMBIZWA KWENDA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA |
![]() |
MABAKI YA GALI SCANIA T669 ACU NA PALE JUU NDIPO BARABARA KUU ILIPO |
![]() |
MABAKI YA GALI |
![]() |
BAADA YA AJALI KUTOKEA POLISI KWA HARAKA WAKAFIKA ENEO LA TUKIO NA KUIMARISHA ULINZI ILI WATU WASIIBE MALI NA MAFUTA ZILIZOSALIA |
![]() |
LEO HAKUNA DILI "IJANA WA KIWILA WALIOZOEA KUIBA MAFUTA BAADA YA AJALI ZINAZOTOKEA MAENEO HAYO, LEO KWAKUWA POLISI WAPO NA WAMEIMALISHA ULINZI WANARUDI NA MADUMU YAKIWA TUPU |
![]() |
ALIYE VAA SUTI NI DIWANI WA KATA YA KIWIRA AKISHUHUDIA AJALI ILIYOTOKEA |
![]() |
MOJA YA GALI ILIYOONGOZANA NA GALI ILIYOPATA AJALI ENEO LA KIWIRA TUKUYU NA KUUA BABA NA MWANAE ALIYEMSINDIKIZA BABA YAKE KWAKUWA SASA NI KIPINDI CHA LIKIZO. {Na Ally Kingo} |
No comments:
Post a Comment