Gari la zima moto likielekea eneo la tukio kwa kasi
Kikosi cha zima moto na uokoaji wakiwa katika juhudi za kuzima moto huo
Juhudi zikiendelea lakini hakuna kilicho okolewa wala majeraha
Nyumba ikizidi kuteketea
Upande wa nyuma nao ukizidi kuteketea
Jengo likiwa limeteketea kabisa
Baadhi ya majirani wakimpokea mama mwenye nyumba baada ya kuitwa kutoka msibani
Mashuhuda wakiangalia kwa uchungu mabaki ya jengo
Moto ukiendelea baada ya gari la zima moto kuishiwa maji
Moja kati ya Askari wa zima moto wakikata moja ya madirisha ili kuendelea na uzimaji wa moto huo
Hakuna kilicho okolewa kama unavyo ona mabaki haya
Mke
mmiliki wa nyumba aliye tambuliwa kwa jina la Mama Mkisi akiwa
anafarijiwa na majirani katika nyumba hiyo baada ya kupewa hifadhi
No comments:
Post a Comment