
Mwanaume wa nchini Kenya ambaye aliridhia kusaini mkataba wa kuchangia mwanamke mmoja na mwanaume mwenzake amefukuzwa kazi na bosi wake.
Mwanaume
huyo Sylvester Mwendwa, ambaye mwishoni mwa wiki alitangaza hadharani
penzi lake hilo la mkataba na mwanamke mjane, amesema bosi wake
amemfukuza kazi ya bucha aliyokuwa akiifanya baada ya kusikia habari
hiyo.
Mwendwa
ambaye alikiri kuwa na mapenzi ya dhati kwa mwanamke huyo na yuko
radhi kufanya lolote ili aendelee kuwanae hata ikibidi kuchangia na
mwanaume mwingine, amedai amekuwa akipokea ujumbe wa kutishiwa maisha
yake.
No comments:
Post a Comment