Wednesday, 30 April 2014

UKARABATI UWANJA WA SOKOINE VYUMBA VYA WACHEZAJI NA WAAMUZI WAENDELEA. CHOO NA BAFU HUMO HUMO

Picha zote na Kenneth Ngelesi.

WILAYA YA MBEYA KINARA VITENDO VYA UBAKAJI NA ULAWITI

Written By Jamii Moja on Monday, April 28, 2014 | 10:34 AM

Kamanda wa Polisi Mbeya Ahmed Msangi

Na EmanuelMadafa,Mbeya
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ikifuatiwa  Chunya zimetajwa kuongoza katika vitendo vya ubakaji kwa kipindi cha Mwezi Januari hadi Machi mwaka huu.
Kwa Mujibu wa  Taarifa za Mwezi zilizotolewa na Jeshi la Polisi Mkoani mbeya ambazo zinaelezea tathimini ya makosa mbalimbali kwa mkoa wa mbeya zimedai kuwa makosa ya  ubakaji na ulawiti Halmashauri ya wilaya ya Mbeya imekuwa kinara zaidi ya Halmashauri nyingine za mkoa huo.
Aidha kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya pekee ina jumla ya makosa ya ubakaji na ulawiti ni 66 ikifatiwa na Chunya yenye makosa 21ambayo ni ubakaji  tu
Pia maeneo mengine yanayo fuatia kwa vitendo hivyo ni pamoja na Mbarali na Rungwe  kwa kuwa na makosa 16.
Pamoja na kuwepo kwa vitendo hivyo vya ubakaji  taarifa hiyo imebainisha kuwa katika Katika kipindi hicho cha Jan – Machi, 2014 jumla ya makosa ya jinai  6,473 yaliripotiwa, wakati kipindi kama hicho mwezi Jan – Machi, 2013 makosa 6,853 yaliripotiwa, hivyo kuna pungufu ya makosa 380 sawa na asilimia 6.
Hata bhivyo Katika kipindi hicho cha Jan – Machi, 2014 jumla ya makosa makubwa 594 yaliripotiwa, wakati kipindi cha Jan-Machi, 2013 makosa 601 yaliripotiwa, hivyo kuna pungufu ya makosa 7  sawa na asilimia 1
Mwisho.
- See more at: http://jamiimoja.blogspot.com/2014/04/wilaya-ya-mbeya-kinara-vitendo-vya.html#sthash.veUzkXZs.dpuf

- See more at: http://jamiimoja.blogspot.com/2014/04/wilaya-ya-mbeya-kinara-vitendo-vya.html#sthash.zeDFZUsD.dpuf

No comments: