Uongozi
wa klabu ya Yanga umemkabidhi gari mshambuliaji mpya wa klabu hiyo
Malimi Busungu gari aina ya Toyota IST kama makubaliano ya mkataba
katika wake.
“Nashukuru Mungu gari langu
nimeshapewa na sasa napiga nalo misele na ukinikuta kwenye daladala basi
nimependa mwenyewe au kuna tatizo, kazi iliyobaki ni kuthibitisha
thamani yangu kwa Yanga,” alisema Busungu.
Msham,buliaji huyo amejiunga na
mabingwa hao wa ligi kuu wiki chache zilizopita akitokea kwenye klabu ya
Mgambo JKT ya jijini Tanga ambapo alimaliza ligi akiwa mfungaji bora wa
klabu yake aliyokuwa akiitumikia.
No comments:
Post a Comment