Tuesday, 14 July 2015

Raheem Streling amemaliza vipimo vya afya Manchester City

Raheem Streling amemaliza vipimo vya afya Manchester City tayari kukamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 49. Mara baada ya mkataba kusainiwa atajiunga na kikosi nchini Australia.

No comments: