Joaquin “El Chapo” Guzman ndio
jina la mfanyabiashara wa Mexico ambalo limechukua headlines kubwa kwa
siku kama tatu hivi mfululizo, jamaa ni mfanyabiashara mkubwa wa dawa
Kulevya, kile kitendo cha kutoroka kwenye Gereza lenye ulinzi mkubwa
kimefanya kila mtu ashtuke !!
Jamaa alikamatwa kama mwaka 2014, juzi July 12 2015 ikaibuka BREAKING NEWS ya jamaa kutoroka Gereza la Altiplano lililopo Almoloya, Mexico.
Gereza lina Ulinzi mkubwa sana lakini ndio hivyo alifanikiwa kuutumia mtaro wa majitaka unaopita chini ya gereza kutoroka usiku.
Huu ndio mtaro ambao Joaquín Guzmán Loera ametorokea.
No comments:
Post a Comment