Thursday 11 May 2017

Hotuba ya Rais Dkt. Magufuli na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini Ikulu Dar es salaam

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja kufuatia mwaliko kutoka kwa Rais Magufuli. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Afrika Kusini.

No comments: