Sunday 4 March 2018

PRISON YAIBANJUA MBAO FC BAO 1-0

Kikosi cha Tanzania Prisons kimeendelea kuchanja mbuga kwenye ligi kuu baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao na kufanikiwa kufikisha pointi 32

No comments: