Monday, 29 October 2012

WAKAZI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE WAINGIWA NA KIWEWE BAADA YA KUIONA HELKOPTA IKITUA KATIKA KIWANJA CHA TANDALE WAKIDHANI WAMALAWI WAMESHAANZA VITA


WAKAZI WA TUKUYU WAKISHANGAA HELKOPTA ILIYOTUA KWA MUDA KATIKA KIWANJA CHA TANDALE CHA KUSHSNGAZA BADALA KUKIMBIA WAKAANZA KUIKIMBILIA HUKU WAKISEMA WAMALAWI WAMEANZA VITA KWAKWELI INA HITAJIKA ELIMU KWA WANANCHI WETU MAANA HII NI HATARI
HELKOPTA HIYO IKIONDOKA UWANJANI HAPO


MAMIA YA WAKAZI  WA MJI WA TUKUYU LEO WALIPATWA NA TAHARUKI BAADA YA KUIONA HELKOPTA IKITUA KATIKA UWANJA WA TANDALE WAKIDHANIA NI NDEGE ZA MALAWI WAMEKUJA KUIPIGA TANZANIA. LAKINI CHA KUJIULIZA WATU WENGI HAWAKUJIHADHARI NA HILO WALILOLIDHANIA BADALA YA KUCHUKUA TAHADHARI AJABU WATU WAZIMA, WATOTO VIJANA NA HATA VIONGOZI WALIOKUWA OFISIN MUDA HUO WALITOKA KUELEKEA KUSHANGAA KULIKONI KUTUA NDEGE HAPO. IMANI YANGU KUWA PAMOJA NA MGOGORO ULIOPO KATI YA MALAWI NA TANZANIA KUHUSU MPAKA ULIOPO ZIWA NYASA WATANZANIA TUNATAKIWA KUPATA ELIMU YA USALAMA KWANZA MAANA TUNAPENDA KUKIMBILIA MATUKIO TUSIYOYAJUA, MENGINE NI HATARI.

No comments: