Tuesday 19 February 2013

HALI ILIVYO KUWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JANA KATIKA KESI YA SHEKH PONDA

Kesi ya Uchochezi na Uharibifu wa mali inayo mkabili Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake leo imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku Polisi wakiwa katika doria kali ya kuimarisha ulinzi katika viunga jirani na Mahakama hiyo ambayo imejizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kwa jinsi inavyo endesha kesi na watu wa aina mbalimbali kufikishwa katika mahakma hiyo kabla ya baade kesi zao kuhamia Mahakama Kuu kwa hatua zaidi za kisheria.

 Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa katika basi la Magereza tayari kwa kurejeshwa Mahabusu.

 Msafara ukianza kutoka Mahakama ya Kisutu
 Wafuasi waliokuwa nje wakiimba wakati gari likitoka
 Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa Pondawakilifuatilia gari lililombeba kiongozi wao wakati akitoka Mahakama ya Kisutu.
Mkazi wa jiji akipita kando ya kundi la Askari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkzi Kisutu wakati Askari hao walipo imarisha Ulinzi nbje ya Mahakama hiyo.
 Ustaadh huyu alitishiwa na Mbwa akataka kutoka baruti
 Wengine zaidi wakitoka Mahakama ya Kisutu
Wakiwapokea na kuwapongeza wenzao wanao tuhumiwa pamoja na Ponda
 Kundi la Wafuasi likiwa limejikusanya karibu na Jengo la Sophia House huku Polisi wakiwa kando yao.
 Doria barabarani nayo ilikamilika
 Ulinzi ulikuwa ni wa Uhakika
 Mbwa maalum wa Polisi nao walikuwa kazini hapa wakikata kiu kutokana na jua kali.
 Hapa ni Fanya Fujo Uone  kilicho mfanya Kanga akose Manyoya shingoni
Kikosi maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKM) nacho kilikuwepo

No comments: