JENGO JIPYA AMBALO BARAZA LA MADIWANI RUNGWE KWA KAULI MOJA LIMEAMUA KUWA ENDAPO RUNGWE ITAFIKIA VIGEZO NA KUWA MKOA WA MBEYA BASI HILO NDILO LITAKUWA OFISI YA MKUU WA MKOA NA WATENDAJI WAKE |
BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA RUNGWE WAKIWA KATIKA KIKAO MAALUM KWA AJLILI YA MAPENDEKEZO YA KUUGAWA MKOA WA MBEYA ILI KUWA MIKOA MIWILI |
WATENDAJI WA HALMASHAURI YA RUNGWE WAKIWA MAKINI KATIKA KIKAO HICHO |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIONGEA NA BARAZA LAMADIWANI NA WATENDAJI KATIKA KIKAO MAALUM CHA KUUUGAWA MKOA WA MBEYA KUWA MIKOA MIWILI |
MKUU WA WILLAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGOZA KIKAO CHA RCC BAADA YA KIKAO CHA MADIWANI KUPITISHA MAPENDEKEZO YA MAKAO MAKUU YA MKOA MPYA YAWE TUKUYU NA MKOA MPYA KUITWA RUNGWE |
DAS ALINANUSWE MWALUFUNDA AKITOA TAARIFA YA SERIKALI BAADA YA MCHAKATO HUU KUANZA ILI KUGAWA MKOA WA MBEYA NA KUWA MIKOA MIWILI |
DIWANI KATA YA KAWETELE KWA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI AKIPINGA MAPENDEKEZO YA MKOA MPYA KUWA WILAYANI RUNGWE KWA SABABU KATA ANAYOTOKA HAINA OFISI |
MHESHIMIWA BASHIRU MADODI AKITOA MCHANGO WAKE |
WAJUMBE WA KIKAO WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA |
MR SHIRIMA AKISOMA TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA KUGAWANYA MKOA WA MBEYA KUWA MIKOA MIWILI |
WAJUMBE WA DCC WILAYA YA RUNGWE WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA HOJA ZA WATU WAKITOA MAPENDEKEZO YA UWEPO WA KUGAWANYWA KWA MKOA WA MBEYA |
No comments:
Post a Comment