Saturday, 13 July 2013

NEWS ALERT: WANAFUNZI WA TEOFELO KISANJI(TEKU) JIJINI MBEYA WAGOMA WAKISHINIKIZA WALIPWE PESA ZAO ZA RESEARCH ZAIDI YA MIL.100


 
Wanafunzi wa Chuo kikuu cha  TEKU wakiwa wanajikisanya kusikia uongozi wa chuo uatoa Tamko gani, huku wakipiga kelele
 Baadhi ya wanavyuo wakiwatimua wanafunzi wenzao walio  nje na kuwambia kamahawawezi bora warejee makwao
 Wakati  Vice Chancellor wa TEKU akionge nyuma Dr. Tuli Kazimoto huku nyuma waandishi wa Habari walikuwa wakikatazwa wasichukue habari
 Depute Vice Chancellor Academic affairs  akiwa katika kikao kifupi na wanafunzi nje ya ofisi
 
 Hili ndilo Tamko Lililo leta utata kwa wanachuo hao wanadai pesa zao za Research
Wanafunzi wa Chuo cha TEKU waakilikataa Tamko hilo 
 Baadhi ya Mabango waliyo kuwa wameyaandika
 Vice Chancellor wa TEKU  Dr. Tuli Kazimoto  akiongea na wanachuo wa TEKU na kuwasihi wawe wapole wakati swala lao linafanyiwa kazi
 Mwanafunzi huyo ambaye jina lake halikutambulika Mara Moja alichafua Hewa Baada ya Kuonekana anatetea Tamko la Utawala
 Mmoja wa wanachuo wa TEKU akieleza kwa sababu gani wao wanataka pesa hizo
  Vice Chancellor wa TEKU  Dr. Tuli Kazimoto  akitaka weka Tamko ambalo baadae lilichanwa na wanafunzi hao na kusema ni upuuzi kuwekewa agizo hilo, na kuendelea kudai pesa zao .

Muhasibu wa Chuo kikuu cha TEKU   Jeremea Mwakanyerenge  akitoa maelezo kuhusu pesa za wanachuo hao ambapo aliwakoroga kabisa na kuwafanya watake pesa zao leo leo  

No comments: