Tuesday, 19 September 2017

BREAKING NEWS: Serikali imelifungia gazeti la Mwanahalisi



SERIKALI kupitia  Idara ya Habari Maelezo, imelifungia gazeti la kila wiki la MwanaHalisi kwa muda wa miaka miwili likidaiwa kukithiri kuandika habari zinazokiuka maadili ya taaluma hiyo.
 

No comments: