Mwanasoka
nguli barani Africa George Weah ameshinda kwenye Uchaguzi wa urais
chini Liberia. George Weah anakuwa mrithi wa Rais Seleaf ambae ni Rais
wa kwanza mwanamke barani Africa. Hii ni mara ya kwanza baada ya miaka
70 Liberia kubadilishana Uongozi kwa njia ya demokrasia.
No comments:
Post a Comment