Wednesday 11 October 2017

WATU 18 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MARA

:Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani Mara, linawashikilia watu 18 kwa tuhuma za mauaji baada ya kumshambulia kisha kumchoma mishale yenye sumu mkazi mmoja wa kitongoji cha Mwara bw. Magige Mesenda na kusababisha kifo chake.

No comments: