Monday 28 May 2018

SALAMBA RASMI SIMBA

Simba yafanikiwa kuinasa saini ya Adamu Salamba ambaye Azam FC pia ilimtaka na Yanga SC ikitaka kumtumia katika michuano ya kombe la Shirikisho la Afrika.

Huyu anakuwa mchezaji wa pili kusaini ,akiungana na Boniventure Kaheza maarufu kama Rivaldo

No comments: