Monday 28 May 2018

ADAM SALAMBA MALI YA SIMBA

Adam Saramba amesaini mkataba wa miaka miwili Simba wenye thamani ya Sh40milioni.
Straika huyo alikuwa akiwindwa pia na Yanga ambayo viongozi wake walishapeleka barua ila wakatolewa nje na lipuli.

No comments: