Saturday, 13 July 2013

HUYU NDIYE KIJANA ALIYETOKA MBEYA HADI DSM KWA KUTEMBEA KWA MIGUU.

Kijana Wiseman Luvanda(23) akikamilisha safari yake ya kutoka Mbeya hadi Dar es salaam kwa miguu
Kauli mbiu yake "Tanzania nchi yangu,Taifa Stars Timu yangu, Amka wakati wa Uzalendo ni Sasa". Tumefanya nini kuienzi nchi?Kijana Wiseman Luvanda (23) akikamilisha safari yake ya kutoka Mbeya hadi Dar es salaam kwa miguu.
 
Kauli mbiu yake "Tanzania nchi yangu,Taifa Stars Timu yangu, Amka wakati wa Uzalendo ni Sasa". Tumefanya nini kuienzi nchi

No comments: