Saturday, 18 April 2015

LUGOMBO FC MABINGWA WAPYA WA WILAYA YA KYELA





Timu ya soka ya LUGOMBO FC ya wilayani kyela imefanikiwa kuibanjua timu ya soka ya Nsesi katika fainali ya ligi daraja la nne na kuwa mabingwa wapya wa wilaya ya kyela.

Kwa ushindi huo Lugombo fc ndiyo wataiwakilisha wilaya ya kyela katika ligi ya mabingwa wa wilaya zote za mkoa wa mbeya kupata timu zitakazo panda daraja la tatu ngazi ya mkoa.

No comments: