Saturday, 13 July 2013

MZIMU WA WAPI YAWE MAKAO YA MKOA MPYA WAWATESA WANAMKOA WA SONGWE HUKU WILAYA YA RUNGWE WAKUBARI YAISHE NA KUCHAPA KAZI ZA WANANCHI ILI KUWALETEA MAENDELEO

 
MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA RUNGWE MKOANI MBEYA AMABAPO JENGO HILI JIPYA LILITOLEWA NA HALMASHAURI YA RUNGWE KAMA MKOA MPYA UNGEFANILIWA KUWA RUNGWE BASI HAPO NDIPO OFISI ZINGEANAZIA KWA MUDA LAKAIN SASA TAYARI JENGO HILI LIMEANZA KUTUMIKA KWA SHUGHURI ZA OFISI ZA HALMASHAURI YA RUNGWE.

KATIKATI MWENYEKITI MHE, A MWAKASANGULA WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIFUNGUA KIKAO CHA BALAZA LA MADIWANI CHA ROBO MWAKA NA KUUANZA MWAKA WA FEDHA 2013/2014

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIONGEA NA WAJUMBE WA BALAZA LA MADIWANI NA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA RUNGWE HASA AMEWATAKA WATENDAJI NA MADIWANI KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA UWAJIBIKAJI WA KUFANYA KAZI ZA MAENDELEO YA WANANCHI

WAJUMBE WA BARAZA LA MADIWANI

BAADHI YA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA RUNGWE

KULIA NI ENZI SEME AFISA UTAMADUNI WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIWA MAKINI KATIKA KIKAO CHA ROBO MWAKA CHA BARAZA LA MADIWANI


MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIONGEA NA WAJUMBE WA BARAZA LA MADIWANI PIA KATIKA MADA ZILIZOKUWEPO MEZANI NI PAMOJA NA KUFANYIKA KWA UCHAGUZI WA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI PAMOJA NA UTEUZI WA KAMATI ZA HALMASHAURI

MUDA WA UCHAGUZI WA MAKAMU MWENYEKITI UKAFIKA KWA  DIWANI KATA YA KIWIRA LAURENT MWAMBEBULE KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA  AKINADI SERA ZAKE NA KUOMBA KUCHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE

KUPITIA CHAMA CHA NCCR MHE, ANYIMIKE MWASAKILALI AKIJINADI KATIKA NAFASI YA KUGOMBEA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE

WAKATI WA KUPIGA KURA

KURA ZIKAHESABIWA NA KAMATI YA UCHAGUZI NA WASIMAMIZI WA WAGOMBEA

BAADA YA KUHESABIWA KURA MATOKEO YAKATANGAZWA NDIPO AKAIBUKA MSHINDI MHESHIMIWA E. MWAKOTA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE KUPITIA CHAMA CHA CCM KWA KURA 27 NA LAURENT MWAMBEBULE WA CHADEMA AKAPATA KURA 4 PIA ANYIMIKE MWASAKILALI WA NCCR AKAPATA KURA 2. HIVYO MKURUGENZI WA HALMASHAURI KAMA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI AKAMTANGAZA MHE, MWAKOTA KWA TIKETI YA CCM KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE KWA KIPINDI KINGINDE CHA MWAKA 2013/2014

MHE EMMANUEL MWAIJANDE AKACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI

MHE, EZEKIA MWALUSAMBA AKACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA UCHUMI UJENZI NA MAZINGIRA

BAADA YA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MIRADI NA RIPOTI ZA UKAGUZI MWISHO MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE MHE, MWAKOTA AKAWATAKA WATENDAJI NA MADIWANI KUANZA UKURASA MPYA WA UWAJIBIKAJI KILA MTU KATIKA NAFASI YAKE BILA YA BUGHUDHA ILI KUKUSANYA MAPATO YALIYOSHUKWA MWAKA HUU UNAOISHA WA FEDHA HIVYO AMEATAKA CHANGAMOTO WA ZILIZOKUWEPO AWALI NDIZO  ZIREKEBISHWE ILI MAPATO YAPANDE NA KUTEKELEZA VYEMA MIRADI YA WANANCHI ILI KUWALETEA MAENDELEO WATANZANIA
KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KIMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA JOHN MWANKENJA ULIOPO KATIKA JENGO LA ZAMANI LA HALMASHAURI YA RUNGWE MKOANI MBEYA

No comments: