Wednesday, 1 October 2014

WAFANYABIASHARA MKOANI MBEYA WAFANYA MKUTANO WA KUPINGA MFUMO WA MASHINE YA EFD


nyabiashara mkoani Mbeya akitoa maelezo kuhusiana na agenda ya leseni na tozo mabalimbali kwa wafanyabiashara.


Timu ya watu ya  kutetea haki za wafanyabiashara mkoa wa Mbeya.





Katibu wa wafanyabiashara wilayani Kyela ndg. Musa huseni akitioa maelezo kuhusu mkutano wa JWT unaotarajiwa kufanyika hapa mkoani mwezi huu.

Mamia wa fanyabiashara waliojitokeza kwenye mkutano huo ili kupata ufumbuzi kuhusu swala la mashineya EFD.


Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa mkoa wa Mbeya ndg. Charles W. Sionga akitoa maelezo ya maelezo kuhusiana na agenda ya TRA wanatakiwa kusitisha zoezi la ufungaji wa maduka hadi hapo ripoti ya kikao cha tarehe 7/9/2014 kilichofanyika mjini Dodoma .

No comments: