Inasadikiwa mtu huyu amekuja kutupwa eneo hili kutoka eneo jingine ambalo halijajulikana bado.Mwili huu umekutwa eneo hili la segerea kinyelezi jiji Dar es salaam na watoto ambao walikuwa wakikata miwa huku ukiwa umeharibika na umekatwa shingo na kung'olewa macho yote mawili na mpaka sasa hajafamika tayari police wamechukua mwili huo kwa uchunguzi zaidi picha zote na mdau wa blog hii.
Thursday, 16 April 2015
BREAKING NEWS MWILI WA MTU MMOJA AMBAYE NI ALBINO UMEKUTWA UMETUPWA MAENEO YA SEGEREA KINYEREZI
Inasadikiwa mtu huyu amekuja kutupwa eneo hili kutoka eneo jingine ambalo halijajulikana bado.Mwili huu umekutwa eneo hili la segerea kinyelezi jiji Dar es salaam na watoto ambao walikuwa wakikata miwa huku ukiwa umeharibika na umekatwa shingo na kung'olewa macho yote mawili na mpaka sasa hajafamika tayari police wamechukua mwili huo kwa uchunguzi zaidi picha zote na mdau wa blog hii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment