Tuesday, 21 April 2015

MAJAMBAZI YATIWA MBARONI BAADA YA KUMPORA MZUNGU JIJINI DAR ES SALAAM






Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam mchana huu.
  
Inaelezwa kuwa Majambazi hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kufawanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.

No comments: