Tuesday 14 April 2015

MKUTANO WA SABA WA MAJI WA DUNIA SEOUL, KOREA


Spika Anne Makinda na Naibu Waziri wa Maji Mhe. Amos Makalla wakiwa ndani ya treni toka Seoul kwenda Gyeongbuk kushiriki mkutano saba wa Maji wa dunia.
Mkutano ukiendelea.
Naibu Waziri Maji Mhe Amos Makalla akifuatilia mkutano.

No comments: