Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari
amepata ajali ya Chopa baada ya kuanguka juu ya mti jana jioni katika
Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha.
Hakuna aliepoteza
maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako
Hospitali ya Seriani mkoani Arusha kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment