JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO
YA NDANI YA NCHI
JESHI
LA POLISI TANZANIA
RPC. Ofisi ya Kamanda wa Polisi,
Mkoa wa Mbeya,
Namba ya simu 2502572
S. L. P. 260,
Fax
- +255252503734 MBEYA.
E-mail:- rpc.mbeya@tpf.go.tz
Unapojibu
taja:
TANGAZO LA USAILI.
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWAITA KWENYE USAILI
VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 AMBAO WAMECHAGULIWA KUFANYA USAILI
KABLA YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI.
MAJINA YA VIJANA HAO YANAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA
TAMISEMI www.pmoralg.go.tz, www.policeforce.go.tz NA OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA ILIYOPO
FOREST YA ZAMANI KARIBU NA MAHAKAMA KUU.
KWA MKOA WA MBEYA, USAILI UTAFANYIKA TAREHE 09.07.2015 NA TAREHE
10.07.2015 KUANZIA SAA 02:00 ASUBUHI
HADI SAA 10:00 JIONI KATIKA SHULE YA
SEKONDARI “MBEYA DAY”.
VIJANA WATAKAOFANYIWA USAILI WAFIKE NA:-
1.
CHETI
HALISI CHA KUZALIWA
2.
RESULT
SLIP YA KIDATO CHA NNE
3.
LEAVING
CERTIFICATE YA KIDATO CHA NNE.
IMETOLEWA NA:
[AHMED Z. MSANGI – SACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
No comments:
Post a Comment