Wednesday 5 August 2015

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kote duniani kuna changamoto zake

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kote duniani katika zoezi la uandikishaji wapiga kura changamoto haziwezi kukosekana ambazo hata hivyo zitahitaji ufumbuzi wake ili kuleta ufanisi wa zoezi.
Hayo yameelezwa na Naibu Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano TEHAMA katika tume hiyo DR. SIST CARIAH mwishoni mwa zoezi la uandikishaji wapiga kura hapa nchini lililotarajia kumalizika jana kwa Dar es Salaam.

No comments: