Wednesday 5 August 2015

Vitendo vya rushwa vimekuwa vikipoteza haki za wananchi

 ITV Tanzania's photo.

Vitendo vya rushwa vinavyo fanywa na baadhi ya wagombea wanao taka uongozi katika kinyanganyiro cha kuwa pata wawakilishi katika vyama vyao,vimekuwa vikipoteza haki za wananchi na kusababisha kuwapata viongozi ambao hawata kuwa na uwezo wa kuwatumikia wananchi.
Akiongea muda mfupi baada ya kurudisha formu ya kugombea ubunge jimbo la Singida mjini kwa tiketi ya chama cha ACT mwenyekiti wa taifa chama hicho Bi.Anna Mghwira ,amesema kutokana na uvunjifu wa taratibu za uchaguzi kuna hatari kubwa ya kuwapata viongozi ambao hawata wasaidia wananchi pia taifa kutokuwa na maendeleo ,kwasababu ya uwezo wao kuwa mdogo kutoka na vyeo wanavyopata kwa kutumia fedha .

No comments: