Wednesday 26 July 2017

BALOZI SEIF AMJULIA HALI MWAKILISHI WA JIMBO LA UZINI MHE. RAZA



Mh. Mohamed Raza kati kati akieleza namna alivyopata huduma za Afya wakati akiwa Hospitalini Nchini India. Wa kwanza kulia ni Balozi Seif na kulia ya Mheshimiwa Raza ni Daktari Azan anayefuatilia afya yake katika kipindi hichi cha mapumziko.
Dr. Azan akimueleza Balozi Seif baadhi ya njia anazopaswa Mtu kuzichukuwa katika kujilinda dhidi ya maradhi ya Kisukari makubwa zaidi ni kufuata miko ya vyakula na kufanya mazoezi kila siku.
 

No comments: