Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya
Serikali ailipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea Shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudhi wakati wa
mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali mara
ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakati wa
mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali
ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wa
Chama na Serikali wakati wa mapokezi yao leo baada ya kuteremka katika
Ndege ya Serikali walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume Zanzibar wakirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum.
[Picha na Ikulu.] 25/07/2017
No comments:
Post a Comment