Sunday, 8 September 2013

KWA MAJONZI MAZITO WAKAZI WA TUKUYU NA VITONGOJI VYAKE WAMAZIKA PASCAL MAKOTOLE LEO


MAREHEM PASCAL MAKOTOLE SIKU ZA UHAI WAKE

 
GALI ALILOKUWA ANAENDESHA PASCAL MAKOTOLE NA HADI KIFO KINAMPATA ALIKUWA KAWAPELEKA ABILIA WAKE MATEMA KWA UTALII WA NDANI NDIPO NAYE AKATAKA KUOGELEA ZIWANI NYASA NA MAUTI IKAMFIKA AKIOGELEA

VIJANA WAKIIMBA KWA HISIA NYIMBO ZA KINYAKYUSA MSIANI

BAADHI YA MADELEVA WA TUKUYU MBEYA WAKIWA WAMEBEBA JENEZA LA MWENZAO PASCAL MAKOTOLE WAKIWASIRI  NYUMBANI KUTOKEA MOCHWALI


MAREHEM PASCAL MAKOTOLE AKIWA NDANI YA JENEZA

SAFARI YA MAZIKO SHAMBANI KWAO BULYAGA TUKUYU MJINI

PASCAL MAKOTOLE KAPUMZIKA HAPA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELELE. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE

Simon Sonelo's photo.
ENZI ZA UHAI WAKE PASCAL KATIKATI AKIWA NA MALAFIKI ZAKE WA MSASANI TUKUYU KUSHOTO SIMON SONELO

No comments: