Sunday, 8 September 2013

UZINDUZI WA UDHAMINI WA CASTLER LAGER KWA FC BACELONA WAFANA MBEYA


Brass Band ya magereza ikiongoza maandamano ya uzinduzi wa udhamini wa castle lager Mbeya

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Mbeya wakiwa katika maandamano hayo




Hakika yalipendeza sana Bodaboda wakiongoza maandamano maeneo ya Soweto jijini Mbeya




Meneja matukio kanda ya nyanda za juu kusini Geofrey Mwangungulu akiongoza maandamano hayo





Hapo sasa

Peter zakaria kosovo akiongea katika uzinduzi huo




James Kavuma meneja mauzo na msambazaji wa kanda akizungumza katika uzinduzi huo

Meneja wa bia ya Castle, Kabula Nshimo akiongea na waandishi wa habari



Picha na Mbeya yetu

No comments: