Wednesday 4 December 2013

Gari lagonga Treni ya Abiria......!



LIMECHAKAA_1940d.jpg
Gari aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili T697 BNB likiwa limehalibika vibaya kutokana na kugonga treni ya abiria kwa mbele iliyokuwa ikitokea mikoa ya kanda ya ziwa. barabara ya iringa Dodoma
ASIKARI_78e5a.jpg
Asikari wa usalama barabarani wakiandika maelezo kaza baada ya kuyakusanya kwa mashuhuda walioishuhudia ajali ya Gari Dogo aina ya Toyota Hilux lililogonga treni ya abiria kwenye injini ajili hiyo imetokea leo saa 11;30 katika barabara ya Dodoma Iringa.

Wananchi wa manispaa ya Dodoma wakilishangaa Gari lililogonga Treni likiwa limehalibika vibaya baada ya injini yake kuharibiwa vibaya na
huku Dereva akiwahishwa hospital akiwa hajitambui.
INJINI_IMEHALIBIKA_a42ea.jpg
Injini ya Gari hilo inavyoonekana.
TRAFIK_1c3a7.jpg
asikari wa usala mabarabarani akiwa karibu na Gari hilo baada ya kuondolewa toka kwenye gema lililoinusuru isitumbukie chini ya Daraja
ilipotokea ajali hiyo.
BARABARA_48ed2.jpg
Sehemu ya Barabara hiyo inavyoonekana huku ikiwa haina alama yoyote ya tahadhari
PICHA NA JOHN BANDA(P.T)

No comments: