Kipindi cha pili kikiwa kimeanza kwa kasi
Mchezaji wa JKT Oljoro akiwa amefanyiwa Madhambi
Mpira unaenda kwa kasi sana
Wachezaji wa JKT Oljoro wakiwa wanashangilia Goli la kwanza Lililo Fungwa na Expedito Kiduko(28) dakika ya 35
Mashabiki wa JKT Oljoro wakiwa wanashangilia Goli
Peter Mapunda akiwa ameipatia Mbeya City Fc Goli la pili lililofungwa dakika ya 39
Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Ushindi
Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanafurahia Goli la Pili
Benchi La ufundi la JKT Oljoro wakiwa wanafuatilia Mechi kwa Umakini zaidi
Mpira unazidi kuwa mkali kila mmoja akitaka kufunga goli
Mpira si mchezo hapa
Dakika chache kabla ya Mpira kwisha
Mpira umekwisha wachezaji wa Mbeya City wakiwa wanashukuru
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mh. Atanath Kapunga akipewa mkono wa Pongezi
Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangila baada ya Mpira kumalizika
Palikuwa
hapatoshi hapa wakati Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Ushindi
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mh. Atanath Kapunga alishindwa
kujizuia na Kushuka katika Gari.. Nini Kilifuatiia..
Mstahiki
Meya wa Jiji la Mbeya Mh. Atanath Kapunga akiwa katikati ya Mashabiki
wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Ushindi. Hapa walikuwa wanaimba
wimbo wa kuashiria ushindi... Usikose kuona Video hii ya kushangilia
inakuja.
Kutoka kushoto Aliye Vaa Kofia anaitwa Bwana Kimbe ambaye anaisapoti Timu ya Mbeya City Fc kwa kiasi kikubwa
Mashabiki hao wa Mbeya City wakipata picha ya Pamoja
Ma mia ya watu wakiwashangaa Mashabiki wa Mbeya City Fc....
No comments:
Post a Comment